Monday, 20 October 2014

Monagangster azungumzia mapishi ya wimbo wa Vitamin Music

Producer wa muziki wa kizazi kipya wa bongo Monagangster asema kuwa Vitamin Music ni moja kati ya nyimbo nzuri ambazo anaendelea kufanya. Vitamin Music ni kibao kipya town amabacho msanii Belle9 amefanya,akimshirikisha Joh makini. Monagangster anauzungumzia wimbo huo kati ya mafanikio yanaendelea katika mziki wa kizazi kipya.mbali na hayo Monagangster amesema kuwa Belle9 anazidi kukua kila anapoachia vibao vyake,hivyo amewataka watanzania kupokea mzigo huo (Vtamin Music). Kusikiliza alicho kisema katika hili nenda kwenye link ya Interview hapo juu.
Monagangster akiwa studio kwake maeneo ya mwananyamala.
Monaganstaer
Muonekano wa Kava la wimbo wa Vitamini music wa Belle9 ft Joh Makini

No comments:

Post a Comment